id
stringlengths 1
5
| label
int64 0
59
| text
stringlengths 1
221
| label_text
stringlengths 8
24
|
---|---|---|---|
1 | 48 | niamshe saa tatu asubuhi ijumaa | alarm_set |
2 | 48 | weka kengele ya masaa mawili kutoka sasa | alarm_set |
4 | 46 | olly nyamaza | audio_volume_mute |
5 | 46 | wacha | audio_volume_mute |
6 | 46 | olly tuliza kwa sekunde kumi | audio_volume_mute |
7 | 46 | nyamazisha kwa sekunde kumi | audio_volume_mute |
9 | 1 | tengeneza umeme hapa iwe joto zaidi | iot_hue_lightchange |
10 | 1 | tafadhali weka taa yakufaa kusoma | iot_hue_lightchange |
12 | 40 | saa ya kulala | iot_hue_lightoff |
13 | 40 | wakati wa kulala olly | iot_hue_lightoff |
15 | 40 | zima taa ndani ya bafu | iot_hue_lightoff |
16 | 31 | olly punguza taa kwenye ukumbi | iot_hue_lightdim |
18 | 40 | weka taa za chumba cha kulala katika hali ya kuzima | iot_hue_lightoff |
20 | 1 | weka taa hadi asilimia ishirini | iot_hue_lightchange |
21 | 1 | olly weka taa ziwe asilimia ishirini | iot_hue_lightchange |
22 | 31 | punguza mwangaza jikoni olly | iot_hue_lightdim |
23 | 31 | punguza mwangaza wa taa jikoni | iot_hue_lightdim |
25 | 34 | olly safisha gorofa | iot_cleaning |
28 | 34 | fyonza nyumba | iot_cleaning |
29 | 34 | safisha nyumba olly | iot_cleaning |
32 | 34 | safisha mazulia pande zote | iot_cleaning |
33 | 32 | angalia wakati onyesho linaanza | calendar_query |
34 | 45 | cheza tena wimbo wa sauti sol | play_music |
35 | 45 | nataka kucheza ile muziki tena | play_music |
36 | 12 | angalia gari langu liko tayari | general_quirky |
37 | 12 | angalia laptop yangu inafanya kazi | general_quirky |
38 | 12 | mwangaza wa skrini yangu inaenda chini | general_quirky |
39 | 12 | nahitaji kuwasha huduma za eneo unaweza kuangalia | general_quirky |
40 | 12 | angalia hali ya matumizi yangu ya nguvu | general_quirky |
43 | 12 | sijachoka nina furaha kwa kweli | general_quirky |
44 | 12 | olly sijachoka nina furaha kweli | general_quirky |
45 | 5 | vipi | general_greet |
48 | 0 | niambie saa huko nairobi | datetime_query |
49 | 38 | niambie wakati wa g. m. t. pamoja na tano | datetime_convert |
51 | 3 | olly orodhesha chaguzi zilizotathminiwa zaidi za kuwasilisha chakula cha kichina | takeaway_query |
52 | 3 | chaguzi za utoaji zilizokadiriwa zaidi kwa chakula cha swahili | takeaway_query |
54 | 3 | olly huduma za kupeleka zilizokadiriwa zaidi kwa swahili dish | takeaway_query |
55 | 3 | nataka baadhi ya chakula kwenda mapendekezo yoyote | takeaway_query |
56 | 3 | nataka chakula mapendekezo yoyote maimuna | takeaway_query |
57 | 3 | kupata yangu kutoa nje biriani karibu na nairobi | takeaway_query |
60 | 52 | simamisha kengele ya saa moja asubuhi | alarm_remove |
62 | 23 | tafadhali orodhesha kengele zinazotumika | alarm_query |
65 | 22 | nini inaendelea kwenye kandanda leo | news_query |
66 | 45 | cheza muziki kiasi cha jua cali | play_music |
69 | 43 | mimi napenda muziki wa rock | music_likeness |
70 | 43 | bendi ninayoipenda zaidi ya muziki ni queen | music_likeness |
72 | 45 | anza kucheza muziki kutoka bahati | play_music |
73 | 45 | tafadhali cheza muziki wangu bora zaidi | play_music |
75 | 57 | ni nani mwandishi wa saa hizi wa muziki | music_query |
76 | 57 | ni hiyo ambacho albamu hii ni muziki wa sasa kutoka | music_query |
77 | 43 | kwa kweli nafurahia mziki hii | music_likeness |
78 | 43 | wimbo wewe unaocheza ni wa ajabu | music_likeness |
79 | 43 | hiini moja ya nyimbo nzuri kwangu | music_likeness |
81 | 18 | fanya taa kung'aa zaidi | iot_hue_lightup |
82 | 18 | ongeza mwanga wa taa hadi kiwango cha juu | iot_hue_lightup |
83 | 34 | samahani anzisha kifyonzi cha roboti | iot_cleaning |
84 | 34 | washa roboti ya usafi | iot_cleaning |
87 | 16 | tafadhali agiza chapati kama chajio | takeaway_order |
88 | 16 | hujambo naomba uagize mkate | takeaway_order |
91 | 16 | naweza kuagiza kuchukua chakula cha jioni kutoka jumia | takeaway_order |
92 | 3 | je mama nitilie ukubali kuchukua | takeaway_query |
93 | 48 | weka kengele ya saa sita mchana | alarm_set |
94 | 48 | weka kengele dakika arobaini kutoka sasa | alarm_set |
95 | 48 | weka kengele ya saa mbili kila siku ya wiki | alarm_set |
96 | 13 | je mvua inanyesha | weather_query |
97 | 13 | je mvua itanyesha | weather_query |
98 | 13 | kuna theluji sasa | weather_query |
101 | 13 | wiki hii hali ya hewa ikoje | weather_query |
104 | 22 | niambie habari za k. b. c. | news_query |
105 | 22 | kuna habari gani kwenye b. b. c. news | news_query |
106 | 22 | ni habari zipi za k. b. c. za karibuni | news_query |
108 | 45 | cheza wimbo mimi nina penda | play_music |
110 | 45 | cheza sailors | play_music |
111 | 45 | kuweka juu ya baadhi ya baridi | play_music |
114 | 28 | changanya hii orodha ya kucheza | music_settings |
116 | 57 | nini inacheza | music_query |
117 | 57 | huu ni muziki upi | music_query |
118 | 57 | niambie msanii wa huu wimbo | music_query |
119 | 25 | nichekeshe | general_joke |
120 | 25 | olly nichekeshe | general_joke |
121 | 25 | niambie utani mzuri | general_joke |
123 | 25 | niambia utani | general_joke |
125 | 25 | alexa niambie mzaha | general_joke |
126 | 25 | nifurahishe | general_joke |
129 | 12 | niambie kuhusu leo | general_quirky |
130 | 16 | agiza piza | takeaway_order |
131 | 16 | niagizie pilau kutoka jumia | takeaway_order |
133 | 3 | ni lini agizo langu inawasili | takeaway_query |
134 | 3 | muda gani hadi kuchukua kwangu | takeaway_query |
135 | 3 | hali ya domino's ya kuwasilisha | takeaway_query |
136 | 57 | nini inacheza | music_query |
137 | 57 | niambie jina la wimbo huu | music_query |
139 | 45 | cheza jazi yangu kwa orodha ya kucheza muziki | play_music |
140 | 45 | anza orodha ya kucheza yangu ya jazi | play_music |
141 | 45 | cheza orodha yangu ya kucheza ninayopendelea | play_music |
142 | 43 | huo ni wimbo mzuri | music_likeness |
143 | 7 | siipendi | music_dislikeness |
144 | 43 | naipenda | music_likeness |
145 | 43 | mimi napenda jazz | music_likeness |
146 | 45 | unaweza kucheza baadhi ya lingala | play_music |